Kuhusu sisi
LECIDE ni kifupisho cha Land, Environment, Community Innitiatives and Development ambayo tafsiri yake ni Ardhi, Mazingira, Jamii na Maendeleo.
LECIDE ni Shirika lisilo la Kiserikali lilisajiliwa tarehe 17 Julai 2015 kwa mujibu wa Sheria namba 24 ya Mwaka 2002.
LECIDE ni kifupisho cha Land, Environment, Community Innitiatives and Development ambayo tafsiri yake ni Ardhi, Mazingira, Jamii na Maendeleo.
Shirika hili lisilo la Kiserikali limesajiliwa chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Shirika limeanza kazi za kusaidia jamii mwezi Agosti 2016.